
“The quality and coverage of B2B contact database are very impressive...”
Mark J.
`
JATU PUBLIC LIMITED COMPANY ni kampuni ya umma inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa na baada ya mavuno kampuni hununua mavuno yote na kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa mawakala na wanachama wa JATU kwa mfumo maalumu unaomhakikishia mteja gawio la faida kila mwezi. Pia ni kampuni inayowawezesha wakulima kupata mikopo isiyokua na riba kwaajili ya kilimo. Kampuni hii inamiliki viwanda vya uzalishaji bidhaa mbalimbali za chakula kama vile mchele, unga wa mahindi na mafuta ya kupikia. Kampuni inasimamia mashamba makubwa ya wanachama ambayo yanalimwa mazao mbalimbali kama vile mahindi, maharage, mpunga na alizeti katika mikoa ya Manyara, Morogoro na Tanga...
Jatu public limited company operates in the Farming industry.
Jatu public limited company's revenue is 11m - 100m
Jatu public limited company has 11 - 50 employees.
Get Started with the Free Forever plan! No credit card needed. Enjoy up to 10,000 free email credits per month at no cost.
Start Prospecting from Clodura.AI's database of 600M+ verified B2B contacts and 120M+ direct dials along with 18M+ companies' org charts.
Unlock the prospect's contact details, including verified email, direct dials, add them to cadence, and close more deals.